Tunafanya mawasiliano kulingana na muktadha uliopo

Tunakusaidia kujenga mahusiano mazuri na yenye tija kwa wateja wako popote walipo na kwa njia mbalimbali za mawasiliano

Tunakusaidia kujenga mawasiliano ya kibinafsi na wateja wako kulingana na muktadha uliopo kwa njia ya SMS, RCS, barua pepe, ujumbe wa sauti, WhatsApp na kadhalika; ili kuweza kuwashirikisha.

Wasiliana nasi
Header Illustration
  • AzamTV logo
  • Vodacom logo
  • Win princess logo
  • Jubilee logo
  • Meridianbet logo
  • Offgrid logo

Infobip inaongoza duniani kwa
njia mseto za mawasiliano,

inasaidia biashara kujenga mahuhusiano bora na wateja kulingana na mahitaji yao.

Jukwaa letu la mawasiliano linaongeza kasi ya kuwezesha biashara kupata suluhisho mbalimbali kwa njia ya kutuma ujumbe, kuja na njia bora zaidi za kuwashirikisha wateja, kuhakikisha usalama wao, kuwezesha uthibitishaji wa wahusika, kutoa usaidizi, na kuwezesha utunzaji wa wateja wasiondoke.

DIRA YETU

Tunajenga mahusiano mazuri baina ya biashara na watu.

Tangu tulipoanza huduma mwaka 2006, dhamira yetu imekuwa ni kutoa teknolojia rahisi na ya kisasa za mawasiliano kwa washirika wetu katika tasnia mbalimbali na jiografia anuwai; pia kuwawezesha kukuza, kubuni na kuwa na athari chanya kwa ustawi wa jamii zao.

  • 600+

    TUMEUNGANISHWA MOJA KWA MOJA NA WATOA HUDUMA ZA MAWASALIANO ZAIDI YA 600 DUNIANI

  • 12+

    TUNAUZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA 12

  • 7+

    TUNAWEZESHA UFANYIKAJI WA MIAMALA ZAIDI YA BILIONI 7 KWA MWEZI

  • 28

    Zaidi ya vituo 28 vya data

  • 60+

    TUNA OFISI ZAIDI YA 60 KATIKA MABARA YOTEs

Tunasaidia makampuni kufanya
mapinduzi muhimu ya kidigitali.

UTHIBITISHO

Tunafanya uthibitishaji wa haraka wa wahusika na unaomridhisha mteja.

Chagua njia moja au zaidi ya uthibitisho ili kupata nambari au neno la siri la kuanzia, badili nywila; na weza kuhakiki na kutunza kumbukumbu za taarifa za kuingia kwenye akaunti zako.

Authenticate illustration
NI SALAMA

Kuna usalama wa hali ya juu ya biashara yako na wateja wako.

Ongeza usalama wa jukwaa unalolitumia kwa kusimba taarifa za wateja wako na kuwalinda wasijulikane kwa njia ya kuwapa namba fiche za utambulisho.

Secure illustration
TOA TAARIFA

Uhakika wa uwasilishaji wa ujumbe zako muhimu kunakohusika.

Hakikisha utimilifu wa matarajio ya wateja kwa kuwatumia taarifa muhimu, kufika kwa taarifa iliyotumwa, taarifa za oda, na taarifa za uthibitisho wa malipo.

Modify illustration
USHIRIKI

Jenga mahusiano mazuri na wateja wako.

Deepen engagement with each customer through personalized brand communication using their preferred communication channel.

Engage illustration

Sifa za kipekee za Infobip

Uwepo nchini na ulimwenguni kote

Uwepo wetu hapa nchini unatuwezesha kuchukua hatua za haraka, kuwa na mwingiliano wa kila siku na wateja wetu, kutoa suluhisho kulingana na mahitaji yao na kujua mahitaji yao halisi kulingana na viwango vya ubora vilivyoko sokoni.

  • Tumeunganishwa moja kwa moja na watoa huduma za mawasiliano zaidi ya 600 duniani.
  • Unganishwa na watu na vitu zaidi ya bilioni 7
  • Uwepo wa jumuiya imara ya wateja na biashara
  • Uwepo wa ofisi zaidi ya 60 katika mabara 6

Ufumbuzi wa haraka, unaoendana na muktadha wa changamoto kulingana na mahitaji

Ufumbuzi wetu wa mawasiliano umeundwa ili kuendana na mabadiliko ya soko, mwenendo wa mawasiliano duniani kwa kasi, viwango vya usahihi na upekee; kitu ambacho kinaweza kufanywa tu na watu wenye uzoefu wa ndani

  • Viwango bora vya ufikishaji taarifa
  • Kasi kubwa na ya kuaminika
  • Taarifa za papo kwa papo
  • Jukwaa imara lenye uzoefu wa kutosha tulilobuni wenyewe
  • Tunatoa huduma iliyokamili kwa kila nyanja.

Matumizi ya miundombinu yetu wenyewe

Miundombinu yetu inaongezeka kulingana na mahitaji, na pia tunatumia mawasiliano wingu mseto (hybrid Cloud model) ili kuhakikisha kwamba hatupungukiwi rasilimali.

  • Huduma zetu zinapatikana nchini
  • Uzingatiaji wa kanuni na taratibu za ndani ya nchi
  • Utunzaji wa takwimu na data zetu hapa hapa nchini
  • Uwepo wa vituo zaidi ya 28 vya data duniani kote, na vinaongezeka

Uzoefu mkubwa wa kuwahudumia wateja kwa viwango vya juu kabisae

Tutakusaidia kuanza na kusonga mbele kwa haraka, iwe ni kwa kuunganisha mifumo ya huduma zetu za mawasiliano, njia bora za utumaji wa ujumbe au kutoa huduma za utafutaji wa suluhisho la changamoto zako.

  • Ujuzi wa kitaalamu
  • Huduma za utafutaji wa suluhisho za changamoto
  • Usimamizi wa mafanikio ya mteja
  • Usaidizi na uangalizi wa huduma ya mtandao kwa saa 24, siku 7 za wiki.
  • Huduma kwa mteja katika lugha yake ya taifa

Wasiliana nasi

Dar Es Salaama

Map marker icon
Tanzania

Ofisi hii hutumika kama kitovu cha shughuli zetu zote za biashara, inahakikisha kwamba tunajulikana zaidi na inatuisaidia kutengeneza fursa nyingi za kufanya kazi kwa ukaribu na wateja na washirika wetu. Inatoa faraja kubwa na kuchochea uendaji na wakati na ufanyaji kazi katika mazingira yenye watu wenye tamaduni mbalimbali.

Infobip Tanzania Limited

Sky Tower,
10th Floor-Left Wing,
P.O Box 31227,
New Bagamoyo Road,
Kijitonyama,
Dar es Salaam,
Tanzania